PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 834
- 450
jina lako lina-ashiria unachokisema!Kama una budget ndogo achana na maisha ya wenye budget kubwa.
Komaa mwenyewe uwe unafanya hizo kazi, haihitaji mfanyakazi wakati hauna watoto, mifugo nk.
Achana na maisha ya kuiga/kuigiza
everyone has the otherside...come clean,go clean!Hahahahaha !!! Jamaa mwenyewe majibu yake tu anaonekana mbabe sasa mtoto wa watu atapona makofi
hapana mkuuVipi huitaji houseboy mkuu?
za serikali,hii ni binafsiAjira zimesitishwa
ha ha ha,hapana...its busy life,sote hurudi late...so kunakuwa kunaugumu kidogo.mmmh, mdd wa kazi family ndogo ivo au unataka achoropoe bwana wako ndo ufurah
Pole mkuu,sipo kwa muhindi wewe wako unamlipa shingapi?(kama umebatika kuwa naye) jitafakari hili kichwani mwako.Mtoa tangazo anaonekana ameajiriwa Kwa wahindi. Nafikiri wote tunaijua mishahara ya wahindi, kwahiyo nae anaajiri kihindi hivo hvo. Najua anatamani kulipa mshahara mzuri lkn uwezo wake umekomea kwenye 50,000/= .
hapo ndio unapokosea bring your own facts and make judgement!Uweli ni.kuwa 50000 ni kiwango kidogo sana kumlipa mtu ila tukubali kuwa yawezekana.naye pia anamshahara kidogo. Kuna watu wana takehome za 580,000 atoe kodi ya nyumba,usafiri,chakula,umeme.na.maji,misada kwa ndugu bado matibabu hakika utagundua kuwa hata yeye hawezi lipa mtu kiwango kikubwa.
Kwahiyo pengine.tumshauri.tu kuwa kwa sasa asitishe.huo mpango kama inawezekana halafu ajipange.pange.kwanza ila tusione.kuwa ni unyanyasaji .
kwa taarifa tu hili sio jina.jina lako lina-ashiria unachokisema!
Mkuu sijakuelewa unamaanisha...?hapo ndio unapokosea bring your own facts and make judgement!
Sema unamiaka mingapi?naweza kuwa naongea na mtoto wa form six,nikawa napoteza muda.
Ivi wewe una mtoto wewe... Elfu 50 afu unasema ni sawa... Acha kudharau kazi za watu ndugu.. Kuna wadada wengine hulisha familia zao kwa kazi hizo,... So waajiri waangalie swala ongezeko la mshahara... Ebu zaa wako afu apate hio ajira,... Huo mshahara ni sosa sana uoo....watu mboyoyo mingiiiiiii kujifanya matawi...normally hiyo 50 inakuwaga mbali na kula,kulala,matibabu..wengine hata mavazi huwa wananunuliwa!...na hii familia ni ndogo sana!
...ni fair kabisa hiyo 50!
....teh hee hee hee....Ivi wewe una mtoto wewe... Elfu 50 afu unasema ni sawa... Acha kudharau kazi za watu ndugu.. Kuna wadada wengine hulisha familia zao kwa kazi hizo,... So waajiri waangalie swala ongezeko la mshahara... Ebu zaa wako afu apate hio ajira,... Huo mshahara ni sosa sana uoo
Thank you kwa kuwa muelewa,na kuliona hilo.Nafikili hapa JF kuna baadhi ya watu wanaact maisha yao,so baadae niligundua na kuwapuuza.....watu mboyoyo mingiiiiiii kujifanya matawi...normally hiyo 50 inakuwaga mbali na kula,kulala,matibabu..wengine hata mavazi huwa wananunuliwa!...na hii familia ni ndogo sana!
...ni fair kabisa hiyo 50!
mdada wakazi ata ishi kwangu kula,kuvaa,akiumwa na maisha ya kindugu kama tuishivyo watanzania kindugu; budget ya mshahara ni elfu hamsini.Asante kwa ushuri pia,japo kwa amount nimekomea hapomkuu hiyo hela ndogo sana kwa dada wa kazi wa kazi uangalie ubinadamu bn, mi wangu nampa 90,000 na yeye aweze kujikimu, nakushauri usitishe mpango wako au uongeze dau.
tanzania kwanza na utu kwanza.