the intelligence Member Joined Sep 19, 2017 Posts 8 Reaction score 5 Sep 19, 2017 #1 Wakuu kama kichwa kinavyouliza, naomba kama kuna member ana tetesi atujuze.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,383 Reaction score 13,469 Sep 19, 2017 #2 Hivi kuna walimu bado wanasubiri ajira? wa toka 2015 hawajaajiriwa bado kuna uhakiki unaendelea..pole sana..[HASHTAG]#PambanaNaHaliYako[/HASHTAG]
Hivi kuna walimu bado wanasubiri ajira? wa toka 2015 hawajaajiriwa bado kuna uhakiki unaendelea..pole sana..[HASHTAG]#PambanaNaHaliYako[/HASHTAG]
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,538 Reaction score 43,562 Sep 19, 2017 #3 Kama ni wa masomo ya arts kapambane na hali yako mkuu..ajira zinatolewa kwa mafungu tena kwa walimu wa masomo ya hesabu na sayansi tu..
Kama ni wa masomo ya arts kapambane na hali yako mkuu..ajira zinatolewa kwa mafungu tena kwa walimu wa masomo ya hesabu na sayansi tu..