Babylon tower Member Mar 31, 2014 60 11 Apr 2, 2014 #1 vipi wadau hakuna mwenye update kuhusu walimu ambao walihitimu mwaka jana na hawajapangiwa vituo vya kazi kwamba ni lini watapangiwa!?
vipi wadau hakuna mwenye update kuhusu walimu ambao walihitimu mwaka jana na hawajapangiwa vituo vya kazi kwamba ni lini watapangiwa!?
M mwalimu wenu JF-Expert Member Feb 13, 2014 203 19 Apr 2, 2014 #2 Tuzidi kumwomba mwenyezi Mungu kwa hili.
sulle23 JF-Expert Member Apr 1, 2014 230 14 Apr 2, 2014 #3 tusubiri maana walikuwa wanadai kuwa watarelease by 10th of april,but i'm not sure
Munkari JF-Expert Member Feb 9, 2013 8,084 4,351 Apr 2, 2014 #4 Dah poleni jamani endeleeni kuvuta subira !!
M mwalimu wenu JF-Expert Member Feb 13, 2014 203 19 Apr 3, 2014 #5 Mungu ni mwema,majina yetu ya sjut-dom kama 3018,tumepangiwa vituo.asanteni tamisemi.
M mcharge JF-Expert Member Feb 14, 2014 248 49 Apr 3, 2014 #6 ivi na sisi wa vyuo vingine tuliokosa ajira inakuaje ivi awa tamisemi walijuwa st.john tu ndo wamekosa ajira or kesho nawafuata oficin kwao
ivi na sisi wa vyuo vingine tuliokosa ajira inakuaje ivi awa tamisemi walijuwa st.john tu ndo wamekosa ajira or kesho nawafuata oficin kwao
M mwalimu wenu JF-Expert Member Feb 13, 2014 203 19 Apr 3, 2014 #7 Pole ndugu,mtapangiwa tu,kwani chuoni kwenu mlikosa wangapi?
M mwalimu wenu JF-Expert Member Feb 13, 2014 203 19 Apr 3, 2014 #9 Nayo ni idadi kubwa pia,chuo gani?
Babylon tower Member Mar 31, 2014 60 11 Apr 3, 2014 Thread starter #11 Wengi tu mwanangu mi nilikuwa SAUT -MWANZA
Babylon tower Member Mar 31, 2014 60 11 Apr 3, 2014 Thread starter #12 Bt wadau asanteni sana kwa update zenu tuzid kujulishana
Babylon tower Member Mar 31, 2014 60 11 Apr 3, 2014 Thread starter #13 saut mwanza mwalimu wenu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
patrickcharles JF-Expert Member May 22, 2013 534 284 Apr 3, 2014 #14 mcharge said: ivi na sisi wa vyuo vingine tuliokosa ajira inakuaje ivi awa tamisemi walijuwa st.john tu ndo wamekosa ajira or kesho nawafuata oficin kwao Click to expand... Kifo cha wengi harusi, Hongereni St. John Dodoma, nendeni mkachukue posho ya siku 3 huko Maporini.
mcharge said: ivi na sisi wa vyuo vingine tuliokosa ajira inakuaje ivi awa tamisemi walijuwa st.john tu ndo wamekosa ajira or kesho nawafuata oficin kwao Click to expand... Kifo cha wengi harusi, Hongereni St. John Dodoma, nendeni mkachukue posho ya siku 3 huko Maporini.