Hiyo sio VETA mkuu ni VTC Yaani vocational and training center,VETA ni mamalaka inayonilikiwa na serikali na ajira zake zinapita sekretarieti ya ajira .hivyo rekebisha , heading
VETA kirefu chake ni Vocational education and Training Authority

Chuo kipo mkoa gani? Mi na watu wa fani hiyo mi mwenyewe mtu wa hiyo fani naweza kuja kujitolea Kama karibu na nilipo naweza kuwaambia wakakataa kutokana na sehemu, Kama unavyojua watu wa hii fani kwa malingo malingo.