F FAFI Member Joined Jun 9, 2015 Posts 36 Reaction score 0 Oct 13, 2015 #1 Samahani wakuu, kuna kiwanda kipya cha viatilifu kipo kibaha.nilisikia kinahitaji watu zaidi ya 150 kwa ajili ya ajira.tulipeleka cv zetu muda mrefu tangu mwanzoni mwa mwaka huu,sasa sijui walishaita interview???na hiki kiwanda kimeshaanza kazi??
Samahani wakuu, kuna kiwanda kipya cha viatilifu kipo kibaha.nilisikia kinahitaji watu zaidi ya 150 kwa ajili ya ajira.tulipeleka cv zetu muda mrefu tangu mwanzoni mwa mwaka huu,sasa sijui walishaita interview???na hiki kiwanda kimeshaanza kazi??