Umeandika upupu hakuna LA maanaWatu wengi wanajiuliza kwa nini Idara ya Usalama wa Taifa TISS haitangazi kazi hadharani kama idara za nje?? Tatizo ni kitu gani?
Ukweli ni kuwa muundo na utendaji kazi wa idara za usalama wa Taifa duniani unachanganya sana (uko very complex), na haufanani kama A na A, au 1 na 1 kama watu wengi wanavyodhania. Utofauti huo unatokana na mambo mengi yanayozifinyanga idara hizo ikiwa pamoja na (but not limited to) muundo na asili ya Taifa husika, hali na mfumo wa kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiulinzi, changamoto zinazokabili nchi husika, msimamo wa kiongozi wa nchi (RAIS), na pia hali ya usalama ya ndani na nje ya nchi. Kwa sababu hiyo mfumo, muundo na hata utendaji kazi wa idara ya MOSSAD ya Israel unatofautiana (kwa namna fulani) na CIA ingawa wajomba hao ni marafiki sana, na pia idara ya Usalama ya Tanzania (TISS) inatofautiana vilivyo na idara za nchi jirani zetu. Kwa sababu hiyo utaratibu wa kuajiri watumishi wapya (majasusi) unaofanywa na TISS sio lazima ufanane na ule wa CIA, MOSSAD, au KGB kwa sababu zilizotajwa.
Vilevile ni lazima ieleweke kuwa nchi zilizoendelea zinazo vyombo vingi vya ujasusi vinavyofanya kazi kwa namna na mtindo mbalimbali na pia kwa kutumia vifuniko vingi(cover). kwa mfano Marekani wana National Security Agency (NSA), Central Intelligence Agence (CIA) na makachelo wa Federal Bureau of Investigation (FBI) ambao kwa asili kazi yao ilikuwa upelelezi wa ndani (kama ilivyo CID ya Tanzania) lakini kutokana na ongezeko la ugaidi duniani, mashujaa hao hivi sasa wanafanya kazi nyingi zakijasusi/upelelezi hata nje ya nchi kwa kushirikiana na idara nyingine. Mashirika haya yanapoajili watu huweza kutangaza waziwazi kwa sababu sheria za nchi zao zinawaruhusu kufanya hivyo.
Hata hivyo ni vema kutambua kuwa waajiliwa wote wanaopatikana kwa mkurulo (kwa matangazo) huishia kufanya kazi za wazi (overtly operations) na sio zile za ujasusi hasa (covertly operations) ambazo ndizo zenye msisimko zaidi. Hawa ndio wale wanaoweza kuwekwa mwenye maofisi ya wazi...mawizara, ikulu na au kufanya kazi za ufundi (technical) Hii ni kwa sababu watu wanaoandaliwa kuwa majajusi (spies) hutakiwa kufanyiwa upekuzi (vetting) wa kina na kwa muda mrefu ili kujua uwezo wao wa kimwili, kiakili, kisaikolojia na mambo mengine mengi yanayoweza kuwapunguzia sifa za kuwa jasusi. Maafisa hawa hata mafunzo yao hufanywa kwa siri na mara nyingine hata maafisa wengine wa idara za usalama hutakiwa wasiwaone au kuwajua ili kupunguza uwezekano wa kuwaumbua,
Kumbe basi, kama unataka kuwa JASUSI wa uhakika (kama Jack Bauer, au Jason Bourne) usihangaike kusubili matangazo ya uajili wa idara. Badala yake ishi maisha ya kujiheshimu na kujitunza sana, usijiingize kwenye scandal za kipumbavu, usijiingize kwenye malumbano ya vyama vya siasa (Naam hata chama tawala), na fanya mazoezi ya ku kujenga kimwili, kiakili na kisaikolojia....JAMAA watakuja kukufuata nyumbani kwako.
Godwin Chilewa
Mwandishi
Idara ya Usalama wa Taifa - Ni chombo cha mauaji?
mmmmmh naogopaWatu wengi wanajiuliza kwa nini Idara ya Usalama wa Taifa TISS haitangazi kazi hadharani kama idara za nje?? Tatizo ni kitu gani?

Asante kwa uzi wenye kuelimisha na kuondoa sitofahamu iliyoko mtaani..asante Sana mkuu lkn naomba kujua je, hao usalama wa taifa wanaweza kumtafuta mtu kwa vigezo kama hivyo ulivyo sema na vipi kuhusu kiwango cha Elimu kinachotakiwa?Watu wengi wanajiuliza kwa nini Idara ya Usalama wa Taifa TISS haitangazi kazi hadharani kama idara za nje?? Tatizo ni kitu gani?
Ukweli ni kuwa muundo na utendaji kazi wa idara za usalama wa Taifa duniani unachanganya sana (uko very complex), na haufanani kama A na A, au 1 na 1 kama watu wengi wanavyodhania. Utofauti huo unatokana na mambo mengi yanayozifinyanga idara hizo ikiwa pamoja na (but not limited to) muundo na asili ya Taifa husika, hali na mfumo wa kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiulinzi, changamoto zinazokabili nchi husika, msimamo wa kiongozi wa nchi (RAIS), na pia hali ya usalama ya ndani na nje ya nchi. Kwa sababu hiyo mfumo, muundo na hata utendaji kazi wa idara ya MOSSAD ya Israel unatofautiana (kwa namna fulani) na CIA ingawa wajomba hao ni marafiki sana, na pia idara ya Usalama ya Tanzania (TISS) inatofautiana vilivyo na idara za nchi jirani zetu. Kwa sababu hiyo utaratibu wa kuajiri watumishi wapya (majasusi) unaofanywa na TISS sio lazima ufanane na ule wa CIA, MOSSAD, au KGB kwa sababu zilizotajwa.
Vilevile ni lazima ieleweke kuwa nchi zilizoendelea zinazo vyombo vingi vya ujasusi vinavyofanya kazi kwa namna na mtindo mbalimbali na pia kwa kutumia vifuniko vingi(cover). kwa mfano Marekani wana National Security Agency (NSA), Central Intelligence Agence (CIA) na makachelo wa Federal Bureau of Investigation (FBI) ambao kwa asili kazi yao ilikuwa upelelezi wa ndani (kama ilivyo CID ya Tanzania) lakini kutokana na ongezeko la ugaidi duniani, mashujaa hao hivi sasa wanafanya kazi nyingi zakijasusi/upelelezi hata nje ya nchi kwa kushirikiana na idara nyingine. Mashirika haya yanapoajili watu huweza kutangaza waziwazi kwa sababu sheria za nchi zao zinawaruhusu kufanya hivyo.
Hata hivyo ni vema kutambua kuwa waajiliwa wote wanaopatikana kwa mkurulo (kwa matangazo) huishia kufanya kazi za wazi (overtly operations) na sio zile za ujasusi hasa (covertly operations) ambazo ndizo zenye msisimko zaidi. Hawa ndio wale wanaoweza kuwekwa mwenye maofisi ya wazi...mawizara, ikulu na au kufanya kazi za ufundi (technical) Hii ni kwa sababu watu wanaoandaliwa kuwa majajusi (spies) hutakiwa kufanyiwa upekuzi (vetting) wa kina na kwa muda mrefu ili kujua uwezo wao wa kimwili, kiakili, kisaikolojia na mambo mengine mengi yanayoweza kuwapunguzia sifa za kuwa jasusi. Maafisa hawa hata mafunzo yao hufanywa kwa siri na mara nyingine hata maafisa wengine wa idara za usalama hutakiwa wasiwaone au kuwajua ili kupunguza uwezekano wa kuwaumbua,
Kumbe basi, kama unataka kuwa JASUSI wa uhakika (kama Jack Bauer, au Jason Bourne) usihangaike kusubili matangazo ya uajili wa idara. Badala yake ishi maisha ya kujiheshimu na kujitunza sana, usijiingize kwenye scandal za kipumbavu, usijiingize kwenye malumbano ya vyama vya siasa (Naam hata chama tawala), na fanya mazoezi ya ku kujenga kimwili, kiakili na kisaikolojia....JAMAA watakuja kukufuata nyumbani kwako.
Godwin Chilewa
Mwandishi
Idara ya Usalama wa Taifa - Ni chombo cha mauaji?
Ndio maana hiyo kazi wanaenda the choosen. Wale tu wenye udhubutu...Mm napenda kua jasusi lkn nikifikir mateso yao na hamu inaisha kabisa...
Ni MI6 myth kwamba spies kutoka uingereza wana ruhusu maalumu kutoka kwa malkia au waziri mkuu wa uingereza kuondoa maisha ya mtu fulani.License to kill
Kwa tz maali ambapo wapo wengi sana ni vyuoni. Kule ndio wengi huwa wanachaguliwa, au wanaweza kukuona unafaa wakaanza kukufuatilia mpaka wajiridhishe kuwa unafaa kwa kazi yao.Swali la msingi, katika watu mil 50 watakuonaje wewe ambaye uko sumbawanga vijijini!!?
Kaka hauwasiliani nao, wakikuhitaji wao watakutafuta wenyewe.Niunganishe nao mzee wa kitengo
Pia makachero selection zao na identity zao ni very protected kiasi kwamba serikali yenyewe huwa inakana uwepo wao au uwepo wakikosi chao.Pia ifahamike kuwa kazi hii ina vitengo vingi pia, mfano:-
# majasusi- hawa kazi yao kuu ni kufuatilia mambo au watu kwa ukaribu sana iwapo wametiliwa shaka, wanaweza kujiweka karibu na washukiwa ( participatory observation) na kuishi nao na kuchukua taarifa zao zote na kuzituma kwa commanding manager ambaye naye huzifikisha kwa wakuu wa kitengo kwa upembuzi zaidi.
# makachero- hawa Mara nyingi huwa ni wadhibiti wakuu wa hali yoyote inayoweza kusababisha au kuathiri usalama wa nchi au taasisi mhimu za nchi, hufuatilia nyendo za washukiwa na iwapo wakijilidhisha pasi na shaka ( with no doubt) ndipo huchukua maamuzi magumu ikiwemo hata kuua ( yes, they've license to kill when the arena is alarming) mfano gaidi aliyepanga kushambulia Eneo X humalizwa papo hapo kabla hajatekeleza plan Y, Mara nyingi makachero huchukuliwa toka jeshini ( komandoo), police special forces, magereza ( prisons special task forces) na hufundishwa mbinu za kiupelelezi kisha kuanza kazi za usalama wa taifa ( tiss)
Itaendelea.......( ilikuwa trailer)
Non senseMm napenda kua jasusi lkn nikifikir mateso yao na hamu inaisha kabisa...
Ngoja tujipange kutafuta hizo sixpack pengine zitakuja hizo fursaWatu wengi wanajiuliza kwa nini Idara ya Usalama wa Taifa TISS haitangazi kazi hadharani kama idara za nje?? Tatizo ni kitu gani?