Wakuu ninatumaini wote mko cool!
Wakuu ninataka kuchukua certificate in clinical assistant! je vipi kuhusu ajira ?
Natanguliza shukrani wakuu naombeni msaada wenu jamani ictoshe mi ndio mtoo wa kwanza home na sina msaada mwingine wa kimawazo ni humu humu jf .
iko poa sana hujakosea ..kama umepata gepu we gonga kitabu mjomba...bado watu ni wachache katika hiyo fani,,ajira ni za kufikia serikalin pamoja na private.

wakuu ninatumaini wote mko cool!
Wakuu ninataka kuchukua certificate in clinical assistant! Je vipi kuhusu ajira ?