kijana wewe fuatilia matangazo kwenye tv, redio au kama una rafki yako asikali akuangalizie matangazo kwenye mbao zao za matangazo, interview yao ni vyeti vyako kama c feki, afya yako, lazma upimwe nyote kijana hakuna jinc hapo, then kingne kama wewe n mwanaume rijali, interview yao ndo iyo, inafanyikiaga kwenye kambi yao ya kunduchi. nadhani umenipata kijana, ila ajila inakuwaga kuanzia mwezi wa kumi, kumi na moja, mbili na kuendelea, tena wewe utaanza na nyota moja.