Ernest Malale
Member
- Aug 29, 2013
- 51
- 3
Hata JKT kwa mwaka huu hawajachukua bado.
Jkt walichukua mwez wa pili kaka,ila nasikia kati mwez huu au december wanaweza kutoa tena.
Kwan magereza huwa wanapiga kozi kwa miezi mingapi?
Wajameni mwenye information kuhusu ajira za magereza atujuze,maana tumesubiri sana,nilisikia mwez 8 mara wa 10,sasa sielewi tatizo,naombeni msaada mwenye kujua chochote kuhusiana na hili.

kaka magereza watachukua mwakani nina dogo anafanyapo tena ni mkufunzi so 2taambizana
Heading yako nilifikiri tayari ajira zimetoka kumbe unaulizia. Kila la heri zikitoka nafasi katika mchakato wako Ernest Malale