Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,762
- 8,013
Hauna sifa kabisa, wewe ni Mwalimu tu. Over.amani na salaama wanajamvi....pole na mgomo wa EFD na mihangaiko ya hapa na pale.
nauliza je nina sifa za kujiunga na immigration.... namalizia BAED ya UDSM..
Nawasilisha.
Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa, baed dili sana wewe nenda tu, maana kwenye benki hao baed ndo wanaohitajika
acha kumdanganya mwezako
unawivu wewe!
wivu kukwambia ukweli!!???
Baed anaeingia ni mchongo tu... Mie mwenyewe ni mwana baed.. Na nipo sector nyngne i know th situatio dude... Tusidanganyane kwa njia halali hupati kazi huko kwengine.
Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa, baed dili sana wewe nenda tu, maana kwenye benki hao baed ndo wanaohitajika
Usiwasikilize wanaokukatisha tamaa, baed dili sana wewe nenda tu, maana kwenye benki hao baed ndo wanaohitajika
baed unafit kila idara ww
hayo maneno ya kufit kila idara ni ya kujipa moyo wakati ukiwa chuo.. kwenye reality hakuna kitu kama hicho