Hallo, am Mr. Rajab from ECOSEARCH NGO Dar, tupo kwenye kikao cha dharura leo tunapitia CV za kuinterview for PROJECT OFFICER post, your cv is good me nataka kukusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 1,200,000/=(take home salary) ukishaanza kazi rasmi utanipa sh. laki 4 kama asante yangu kwa kukusaidia, na kabla ya saa 11 jioni uwe umetuma sh. elfu 35 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali amesema anaitaka leoleo, ntakuforwadia maswali kwenye email, nikitoka kikaoni nitakupigia simu.
mh.huyu m2 jaman aliniacha hoi yan kama cku 2 zlpta ma friend alnfowdia dat sms na kumvumbua kuwa hyo ni tapel.he!kesho yake na mie natmiwa sms ka hyo tena kene no zangu zote yn ya tgo na voda..,nkampotezea kwa kuwa ckuwa na credt bt cku ilyofuata nkam2mia sms kwamba nko tayr bt mi ntamtoa hata lak 5 pale 2 atakponpa kz kwanza.....HAKUJIBU NG'OOODOO.
Je, unazungumzia huyu wa namba 8 hapo juu?Hahahahahahahahaaaaahahahahahaha nilisikia tu kwa wadau yule jamaa wa reborn hahaha nami ikanitokea jana ndio nimeona niwasilishe hawa jamaa wanatia hasira saana maana watu wanasota kitaa kusaka tonge wao ndo wanataka wachukue wao
Yupi huyo mkuu?