Ajira aliyesoma degree ya biology

Kazi zipo nyingi sana kijana kwenye hiyo field. Nmetoka kukataa mshahara wa sh laki saba take home. Hapa napofanya sasa napokea take home ya 650 na napewa airtime ya 35000 kwa mwezi pamoja na nauli ya sh 50,000. Bado marupurupu kibao. Soma hiyo kozi hutajutia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuchuuza watu ndg hapo ulipo ni wapi mpk upate dau hilo kwa kozi ya biology ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…