ajira ajira

ajira ajira

Inosent

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
18
Reaction score
1
naomba kufahamu kwa wale wliosema waijua maxcom kwa hiyo kazi zao za sales person ndio za kusambaza machine au?
 
unauliza kutoka wapi? milembe? heading unaandika ajira ajira huku unauliza maxcom, jinga we!!!
 
naomba kufahamu kwa wale wliosema waijua maxcom kwa hiyo kazi zao za sales person ndio za kusambaza machine au?

kama uko Dar nenda pale Millenium Tower kuna ofc zao kaulize au mtume mtu.
 
Toto jnga hili.. Mpka hapo km mimi ndo HRM Kazi huna hta heading hujui kuandika!
 
uuwii.huyu ni yule aliyeko day na wenzake wa mirembe wako boding
 
Home of great thinkers ? ? ?,mwelevu hujifunza toka kwa mjinga unajua hilo. Kama umeona ni ujinga kaa kimya unafikiri kichaa akikuibia nguo wakati unaoga ukaanza kumkimbiza nani atoonekana kichaa. Hii so sehemu ya kujifunzia matusi. Heshimu mawazo ya mwenzio na ujiheshimu., usilazimishe kila mtu afikirie utakavo. Na nyie mnaodandia hoja vp ? kwa sababu flani kaongea na wewe unataka uongee. Think Big
 
Back
Top Bottom