Ajira ajira

Ajira ajira

Fazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
631
Reaction score
1,439
Wanahitajika mabinti wawili kwa ajili ya kufanya kazi ya kusambaza chakula kwa wateja

Location : Kariakoo
Mshahara maeleano
Umri wowote ila awe anajituma
Kama upo tayari zama inbox tuyajenge
 
Ila awe anajituma isiwe kulazimisha atafute wateja kwa mbinu chakavu
 
Back
Top Bottom