Halafu mtu akitoka mwanza kuja sumbawanga akakaa hata siku nne anasotea atapoteza hela nyingi, bora wangefanya interview katika kanda tofauti, kwa sababu ni serikali!
dah! usawa wenyewe huu upoteze laki tatu au zaidi unasotea kazi halafu utoke kapa!
Apply tuu halafu una miaka 23 utapata bahati ya kuitwa nenda mpaka Rukwa Choma Nauli. Fanya written Ukifika Oral wanakuuliza tuu una Miaka mingapi? mwisho wa Interview.
Apply tuu halafu una miaka 23 utapata bahati ya kuitwa nenda mpaka Rukwa Choma Nauli. Fanya written Ukifika Oral wanakuuliza tuu una Miaka mingapi? mwisho wa Interview.
Masharti yakiboya kweli asa sisi wenye Degree miaka 25 ndio hatuwezi Ajiriwa kwa Post hii.
Dah! TANROAD ni Serikali mbona inatuleta uhuni namna hii jamani!!