AJira 10,000 za Kairuki zimetolea wapi??

AJira 10,000 za Kairuki zimetolea wapi??

kidome

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
80
Reaction score
40
Wiki kadhaa nyuma waziri wanchi ofisi ya rais utumishi Angela Kairuki alitangaza kuwepo kwa upungufu wa rasilimali watu katika taasisi mbalimbali za serikali hivi wadau nyie mnaupdate yoyote kuhusu hizo ajira? maana naona kimyaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haziwezi tangazwa zote kwa mkupuo
a9d93b5f249e4c222cf311015ca873ad.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaishi wap ....mbona uko nyuma nyuma sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sipo nyuma

Kumbuka mwaka jana aliongea bungeni kwamba kutakuwa na ajira za walimu BoTH wa arts na science, kama kawaida lakini mwisho wa siku watu wamepigwa porojo. Utasemaje nipo nyuma.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
wewe endelea kuuza sura huku wenzio wakiajiriwa...
 
Sipo nyuma

Kumbuka huyu mama mwaka jana aliongea bungeni kwamba kutakuwa na ajira za walimu BoTH wa arts na science, kama kawaida lakini mwisho wa siku watu wamepigwa porojo. Utasemaje nipo nyuma.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Uko nyuma sana au haujaguswa kwenye hizo 4000 walizotoa
 
Wewe subiri... hizo..10,000 wakati kila leo zinatangazwa....TRA WAMETANGAZA 400
 
Back
Top Bottom