[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama una ubongo wa mende zitakutesa sanaPapuchi hizi!
Mkuu kwani papuchi ni mapenzi?[emoji53][emoji53][emoji53]Papuchi hizi!
Inaonekana huwa na hofu kua hawa to pata wazur Kama wa mwanzo.sure ? nijinyonge kwa ajili ya mbunye ? alafu mtu mwenyewe ni mpenzi tu cjamuoa wala cjawahi kumlipia mahari ? labda pengine mimi ni mmbahili kuhonga ndio maana hata mpenzi wangu akinitamkia sikutaki namwambia poa na maisha yanasonga. kuna shida naiona hapa mwanaume unakuwa na mtu pengine ukajiridhia atakuja kuwa mama watoto wako ukaanza kuhudumia kama mke vile, ghafla mrembo anabadili gia angani baada ya kumpata mwingine, hapa ndipo mtu unajinyonga......what a shame, halafu wanaume wengi wa mkoani ndio wnajinyonga why ? wanahofia kutopata mwingine mzuri kama wa mwanzo...
Hivi nyinyi vijana mnapoamua kujiua kwaajili ya mtu uliyekutana nae ukubwani mnawaza majonzi mnayowaachia waliowazaa na kuwalea kwa mapenzi yote?
Yaani ivi inakuaje eti MTU unafikia hatuwa yakuji nyonga kujipa sumu eti Lisa mwanamje ao kisa pesa. Daah sijawai hata kufikiri Huwo ujinga kwakweli. Ila yote na yote R.I.PHizo ziiipendwa mbunye kibao, unajinyonga,wanaume tusipende kupitiliza
DamnnnnnNahisi huyo dada ana mnato hatari kuliko hata mnato wa superglue.
na kweli, wangechunguza hata mwandiko.Ila uchunguzi wa vifo tanzania ni mdogo sana vyombo vya usalama huamini mapema taarifa ila kwa huyu mi naona bado maswali yapo mengi tu maana hiyo karatasi na sms wanaweza kutuma wengine pia ili kuficha habari