Mama Nehemiah JF-Expert Member Joined Sep 9, 2018 Posts 275 Reaction score 475 Mar 18, 2023 #1 Hellow wakuu, Hivi mamlaka ya chakula na dawa Tanzania ilishawahi kukataza matumizi ya kiungo cha jikoni kinachoitwa Ajina Moto? Mwenye uhakika tafadhali anijuze.
Hellow wakuu, Hivi mamlaka ya chakula na dawa Tanzania ilishawahi kukataza matumizi ya kiungo cha jikoni kinachoitwa Ajina Moto? Mwenye uhakika tafadhali anijuze.
The Dictator JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 4,455 Reaction score 12,236 Mar 18, 2023 #2 Inafanya kazi gani kwenye chakula?
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,701 Reaction score 49,704 Mar 18, 2023 #3 Kiungo kizuri sana. Hata kabeji ukiweka hiyo kitu nyama ikasome
kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,980 Reaction score 3,635 Mar 18, 2023 #4 Sidhani maana hicho kiungo kipo kila Kona ya duka.... ingredients zake za kulainisha nyama zinaonekana it's harmful Kwa binadamu.. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sidhani maana hicho kiungo kipo kila Kona ya duka.... ingredients zake za kulainisha nyama zinaonekana it's harmful Kwa binadamu.. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mama Nehemiah JF-Expert Member Joined Sep 9, 2018 Posts 275 Reaction score 475 Mar 18, 2023 Thread starter #5 Zyaire said: Inafanya kazi gani kwenye chakula? Click to expand... Inalainisha nyama
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,596 Reaction score 9,541 Mar 18, 2023 #6 Asee nlikua naiona kama chumvi flan hv
Mama Nehemiah JF-Expert Member Joined Sep 9, 2018 Posts 275 Reaction score 475 Mar 18, 2023 Thread starter #7 Mr kenice said: Asee nlikua naiona kama chumvi flan hv Click to expand... Yes ipo kama chumvi