Wadau naomba kufahaishwa kama tayari ajira za ualimu wa secondary kwa mwaka huu zimeanza kupangwa au bado. Maana najua mwaka jana watu walisubiri mpaka mwezi wa kwanza mwaka huu. Wenyefununu tupeni moyo ndugu zenu maana huku kitaa bara wakuu.

Asante mdau,,ngoja basi nijitafutie japo ki-part-time flan...maana hata tuition sikuhizi vijana waote wanasoma kwa akina mama lwakatare na hawarudi mpaka summer au winter...kazi kweli kweli

kama upo Dar jaribu kwenda pale sido makao makuu utakutana na jamaa wanashule yao iliyopo morogoro (mlimba girls) ukiongea nao vizuri wanaweza kukupa offer. mara ya mwisho naongea nao walikuwa wanauhitaji wa walimu. pia jaribu kupeleka cv shule mbalimbali za private hasa za pembezoni mwa mji.