Ajila ngumu!!!!!

lutayega

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
1,298
Reaction score
568
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi kwenye ZOO. Akaambiwa nafasi ya kazi ipo ila hakuna sokwe" hivyo utajifanya sokwe na tutakupa ngozi ya sokwe utavaa" Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii mambo yalienda vizuri. Siku iliyofuata banda lake liliwekwa kwa juu ya banda la simba. Jamaa ktk kuongeza mbwembwe akawa anarukaruka, kwa bahati mbayasi akaangukia ndani ya banda la simba. Akawa anapiga kelele "mama nakufaa!" Mara yule simba akamwambia "acha ufala wewe kelele za nini sasa, mimi mwenyewe binadam!, rudi kwenye banda lako kabla watalii hawajaja watatushtukia.
 
hihihiih mama kweli kazi ngumu jamani dah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hiyo inaendana na ukweli vile!..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hahahahahah daaaaaah hiiii kali ya mwaka
 

Umetisha mkuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…