Ajibu ni muhimu sana kwenye mechi za Yanga

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,318
Kuna wachezaji 11 kwenye mechi uwanjani lakini Kuna wachezaji muhimu kuamua matokea ya mechi uwanjani.

Tumeona hayo kwa Barcelona umuhimu was Messi pia tumeona kwa Juventus umuhimu was Ronaldo na huwa tunaona kwa Yanga umuhimu was Ajibu.

Wanapokesakana wachezaji Kama happy kwenye mechi basic matokeo nayo Ni opposite kwa baadhi ya mechi.
 
Back
Top Bottom