Ajenda ya sasa ya upinzani ni nini?

Agenda yao ni kupinga pinga tu ili mradi waonekane na wao wapo. 2020 si mbali kuna watu watanyooshwa haswaa, Magu piga kazi matunda utayaona.
 
Wapinzani wanapinga kila kitu, hata mchanga kusafirishwa na kubaki na mashimo walipinga wakati tunapata mrahaba asilimia 400 sijui wakoje , kazi yao kupingapinga tu
 
Mi nadhani in kumkosoa Magufuli tu.Hakuna jipya.
Kupinga udikteta na ubashite kwa nguvu zote, na nafikiri unamwona Sizonje alivochoka sasa, saivi anaongea vitu hata havieleweki dadeki [HASHTAG]#HakunaKulala[/HASHTAG] mpaka kieleweke!
 
Vyeti wengi wanavyo lakini vyeti bila matunda vina manufaa gani?.Watu wanataka matokeo.
Na wale waliofukuzwa makazini na wengine wamehukumiwa kabisa ilhali walikuwa watendaji wazuri wafanyeje ?! Sheria iwe fair kwa wote.

Bashite onyesha vyeti vya form four
Unachukia?Una wasiwasi?
Dogo serikali yoyote isiyokubali upinzani haiwezi kuendelea na inakikimbia kivuli chake. Wapinzani ni WaTz na wanania njema na nchi tofauti ni ideas za kufikia mafanikio yanayotakiwa.
 
Kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali. Hata watumishi hewa walioondolewa kwao ni kosa kubwa kabisa!
 
Mi nadhani in kumkosoa Magufuli tu.Hakuna jipya.
Hii hapa
5df982e562b944450ac890b61ed763f6.jpg
 
Kwani maana ya upinzani ni nini?

Unataka waongoze nchi na nyie mlipwe bure? Umizeni vichwa bhana... Kupata umeme Ethiopia, Biashara Moroco, kilimo turkey, techn vietnam....... Mambo bado sana... Nchi zipo nyingi hata samaki twende Malawi
 
Back
Top Bottom