Dawa ni Kwenda hospital au kituo cha afya kwa uchunguzi zaidiNilipata ajali na pikipiki nikapata majeraha kwenye goti lkn vidonda vimepona lkn mguu hautaki kunyooka alafu maeneo ya goti bado kunauvimbe naombeni msaada nitumie dawa gani ya kunywa na ya kuchua msaada plz