Ajali za bodaboda

Duuu kweli watu waoga naona wengi wamepita kimyakimya
 
Eti si wanasema ajali haina kimya!!??
 
Bora uwe na gari uende mdogo mdogo
 
daaaah mwenyez mungu ampumzishe kwa amani
 
Duu hapo hana miguu tena kama alikuwa bado hajaolewa sijui atakuwa mgeni wa nani?
 
Ifike mahali tuache kupost picha za namna hyo kwenye mitandao ya kijamii. Msione sifa. Hivi utafurahi kama ww ukipostiwa ukiwa umeumia kama ivoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…