ndetembea
New Member
- Jul 22, 2013
- 4
- 1
Ajali za barabarani katika barabara inayotoka tarakea kwenda mkuu rombo imekuwa ni tishio kubwa sana. Watu wengi sana wamepoteza maisha yao na wengine ni vilema. Wewe unaye kwenda kupanda mlima kilimanjaro kwa kutumia njia hiyo, kuwa mwangalifu sana kwa sababu kuna mambo ya kishirikina yanayo husika katika ajali hizo za barabarani, watu hutoa wenzao kafara kwa njia hiyo. Jambo la muhimu zaidi ni kuomba ulinzi wa mwenyezi mungu pindi upitapo katika barabara hiyo.