Ajali za barabarani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali za barabarani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by supermario, Dec 7, 2011.

 1. s

  supermario Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiwa unaendesha gari barabarani jijini dar-es-salaam utaona mabango tele ya biashara na matangazo mengine. Nilipata nafasi na kuishi nje ya Tanzania na kulikuwa na campaign ya kuelimisha watu madhara ya uvutaji sigara mpaka wakawa wanaweka picha zinazo onesha athari za sigara kwa afya yako..picha za mapafu yakiwa katika hali mbaya na vile vile picha kali za cancer ya koo..yote haya ni kuwaonesha wavutaji mazara ya sigara kwa afya. Je ikianza kampeni ya mamlaka husika kuhusu usalama barabarni kuweka mabango ya ajali zinazotokea mara kwa mara kwenye barabara zetu zina weza punguza ajali?
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  hazitosaidia coz wanaopewa leseni hawajapitia hata mafunzo ya kuendesha wheel barrow!
   
Loading...