Ajali yauwa 9 na kujeruhi 10

Ajali yauwa 9 na kujeruhi 10

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Toyota Costa ikitokea Mwanza kwenda Bunda haya tisa na kumi kujeruhiwa katika kijiji cha Nyamhongolo wanaume 5 na wanawake 4. Gari ni aina ya Toyota Costa iliyogonga Lori iliyopaki pembeni mwa barabara na dereva wa lori amekamatwa ila wa Costa aitwaye Yohana ametoroka na anatafutwa na jeshi la polisi. Source ITV
 
May their soul R.I.P .Ajali zimezidi na zinazidi kutumaliza jamani.
 
:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::rip::rip::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Toyota Costa ikitokea Mwanza kwenda Bunda haya tisa na kumi kujeruhiwa katika kijiji cha Nyamhongolo wanaume 5 na wanawake 4. Gari ni aina ya Toyota Costa iliyogonga Lori iliyopaki pembeni mwa barabara na dereva wa lori amekamatwa ila wa Costa aitwaye Yohana ametoroka na anatafutwa na jeshi la polisi. Source ITV

Hivi jamani kijiji hiki kipo sehemu gani?nikabla hujafika kisesa au baada ya kupita?pls
 
Poleni sana wafiwa. Kama huyo dereva wa lori alipaki pembeni kwa matengenezo mimi naona hana hatia kwakuwa yeye ndiye gari lake limegongwa na hilo basi lililokuwa mwendo kasi. Madereva wa mabasi ni muhimu kuwa makini kwani mnabeba roho zenu na za watu sio nyaya au mahindi
 
Back
Top Bottom