ibrahim chisanga
Member
- Sep 27, 2015
- 83
- 15
Swali zuri sana kwa mleta uzi. Uandishi wake unatia shaka.Wewe ni mwalimu kweli?
Dah...RIP kisima cha maujanja... Na wewe ni MWARIMU? samahani nauRiza tu?[emoji4]Napenda kuwa taarfa ya ajar iliyotokea hapa kibiti
Mwalimu mwenzangu kagongwa na gari yeye alikwa anaendesha pikipik
Pia hapohapo mzee mwingine kagongwa na gari za kusini...ila cjapata taarfa nzur
Kweli kabisa atakuwa mwarimu na sio mwalimuDah...RIP kisima cha maujanja... Na wewe ni MWARIMU? samahani nauRiza tu?[emoji4]
Nna shaka pia.Wewe ni mwalimu kweli?
Samahan nilikuwa kwenye taratbu za mazishiJaribu kutoa taarifa za kutosha. Mfano:
Mwl. nani?
Anafundisha wapi?
Mwenyeji wa wapi?
Gari aina gani lililomgonga na ktk mazingira yapi.
Mm pia ni mwalimu hapa shule ya msingi kibitiNna shaka pia.