Mhache JF-Expert Member Joined Jun 20, 2008 Posts 345 Reaction score 27 Mar 30, 2009 #1 Je hii ajali ya treni iliyotokea Dodoma ni uzembe au tuiite nini? Station master hakuwa na mawasiliano na waendesha trani au ni hujuma tu. Ninawapo pole wale wote waliopatwa na msiba. Mungu azilaze roho za marehemu hao mahali pema peponi.
Je hii ajali ya treni iliyotokea Dodoma ni uzembe au tuiite nini? Station master hakuwa na mawasiliano na waendesha trani au ni hujuma tu. Ninawapo pole wale wote waliopatwa na msiba. Mungu azilaze roho za marehemu hao mahali pema peponi.