Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 967
- 2,292
watanzania inabidi tutambue kuwa bila kuzingatia usalama wa maisha yetu, pilikapilika zetu zote hazina maana yoyote. Usalama kwanza, mengine yafuate. kupanda boda boda tena mshikaki bila helmet ni uzembe wa kupindikia na madhara yake ni kama haya. Ni muda wa kubadilika sasa. pole kwa wahanga.
Hawa bodaboda akili zao kama madereva wa subaru!!!! Wanajiona wana control utadhani wametengeneza wao hizo pikipiki!Hapo hakuna aliepasuka
Au kuna mtu kaona damu?
View attachment 344430 View attachment 344430 View attachment 344431 View attachment 344432 View attachment 344433 View attachment 344434 View attachment 344435 View attachment 344431 View attachment 344432 View attachment 344433 View attachment 344434 View attachment 344435 Kumetokea ajali ya bodaboda hapa ikiwa imepakiza watu wawili wameanguka na pikipiki aina ya boxer na kupelekea kupasuka vichwani wote wawili na kupelekea kukimbizwa hospital kwa matibabu
Hawa bodaboda akili zao kama madereva wa subaru!!!! Wanajiona wana control utadhani wametengeneza wao hizo pikipiki!