Ha ha haaa!
Preta bana!...kama unajua inavyoandikwa si umwelekeze aisee!
Mi nakumbuka tulitembelea kiwanja cha ndege tukiwa darasa la 6 mwaka 1966, na tukafundishwa kuwa inaitwa Cessna-206, 6-seater a/c.
kuna uhakika kuwa hawawezi? Ningependa kujua kwa kuwa ni habari ya kushangaza Rose!kwasababu hawawezi.
Preta bana. Mwenzio vidole tu vimeteleza.
pamoja na vidole kuteleza....si umeona PJ kaiandika kutokana na alivyoiona alipotembelea uwanja wa ndege bana
Polisi wetu ni noma, hilikopta wanaita EDIKOPTA; na kila ndege wao wanaita boing.wanajf kwa mujibu wa habari ya saa saba mchana huu TBC TAIFA imeripotiwa kuanguka kwa ndege ndogo takribani kilometa tano kutoka uwanja wa ndege wa mbeya, cah kusahangaza eti jeshi la polisi linafanya uchunguzi kujua chanzo cha ajali. HIVI tanzania kweli jeshi la polis lina uzoefu wa kuchunguza ajali za ndege? kwa nchi za wenzetu waliotuzidi hata kiutaalamu jeshi bado haliwezi bali kuna vitengo maalumu vinavoundwa vikishirikisha marubani wa zamani na mainjinia wa ndege ndio wanaoweza kufanya utafiti wa ajali za ndege sasa hawa polisi wetu wengi hata ndege hawajawahi kupanda au kusomea muundo wake watawezaje kuchunguza ajali???
Wana kina kitengo cha police airwing.na wangekuwa hawawezi ingeundwa hiyo kamati unayosema,polisi wengine wamesomea hayo mambo na wana marubani wao au unadhani helcopter zao nani anazirusha.penye ukweli tuongee ukweli sio mtu unaandika kitu ambacho huna uhakika nacho.
acha uongo wewe, unapotosha watu. Nilikuwa ninasoma shule ya primary kilimanjaro iliyopo CCP moshi na mafundisho ya dini nimesoma hapo CCP kanisa katoliki na katika vitu nilivyokuwa navipenda hapo CCP ni kuangalia mafunzo ya makuruta na maaskari wakilenga shabaha, kukimbiza farasi na kuendesha ndege ndogo ndogo kama helikopta.. Nimetoroka sana shule kuona hayo mafunzo. Nashangaa unaposema maaskari wetu hawajui mafunzo ya ndege! Hata vifaru vyenyewe wanajua sembuse ndege? 🙁polis hawawezi ndio pale CCP hawafundishwi kitu kama hicho labda tu kukamata magari na kuchunguzawahalifu hata upelelezi unawashinda sasahii ya ndege watawezaje????
<br />Kwanini unaamini kuwa hawawezi?
acha uongo wewe, unapotosha watu. Nilikuwa ninasoma shule ya primary kilimanjaro iliyopo CCP moshi na mafundisho ya dini nimesoma hapo CCP kanisa katoliki na katika vitu nilivyokuwa navipenda hapo CCP ni kuangalia mafunzo ya makuruta na maaskari wakilenga shabaha, kukimbiza farasi na kuendesha ndege ndogo ndogo kama helikopta.. Nimetoroka sana shule kuona hayo mafunzo. Nashangaa unaposema maaskari wetu hawajui mafunzo ya ndege! Hata vifaru vyenyewe wanajua sembuse ndege? 🙁
wanajf kwa mujibu wa habari ya saa saba mchana huu tbc taifa imeripotiwa kuanguka kwa ndege ndogo takribani kilometa tano kutoka uwanja wa ndege wa mbeya, cah kusahangaza eti jeshi la polisi linafanya uchunguzi kujua chanzo cha ajali. Hivi tanzania kweli jeshi la polis lina uzoefu wa kuchunguza ajali za ndege? Kwa nchi za wenzetu waliotuzidi hata kiutaalamu jeshi bado haliwezi bali kuna vitengo maalumu vinavoundwa vikishirikisha marubani wa zamani na mainjinia wa ndege ndio wanaoweza kufanya utafiti wa ajali za ndege sasa hawa polisi wetu wengi hata ndege hawajawahi kupanda au kusomea muundo wake watawezaje kuchunguza ajali???
ila wewe ulisema hawaendeshi! Na ninachopinga ni unaposema hawafundishwi!hivi kila anejua kuendesha gari ni fundi makenika????
Breaking news kutoka Mbeya kuna taarifa kuwa ndege imeanguka huko Mbeya maeneo ya UYOLE Tutaleta habari zaidi tukizipata. Kama mtu anahabari zaidi atujuze
source: tanzagiza.com