mIMI ATAKA AJIUZULU KWA SABABU YA JULAI 2011 ALITOA TAARIFA KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI AKIWAHAHAKIKISHIA WANANCHI KUWA USAFIRI WA MAJINI KATIKA ZANZIBAR NI SHWARI KABISA. KUMBE ALIIGA MTINDO WA CCM KUTOA TAARIFA BILA KUFANYA UTAFITI WA MATATIZO YALIYOPO.Still wanakwepa kugusa tatizo!!! Kama alikuta madudu bajeti yake ya kwanza kushughulikia ni ya Juni hii!
Safi sana Mtatiro... Kiongozi inatakiwa uwe na confidence as such.
Badala ya kuandika kwenye social forums, nadhani alipaswa kuliwakilisha kwenye forum zao ndani ya chama chao...halafu watupatie matokeo.
Sasa mimi nilalamikie huku kwenye social forum, na yeye naye alalamikie huku huku...iwapi tofauti ya mimi na yeye ndani ya cuf?
Siye mtu wa pili huyu au watatu niseme hivyo, kwa Ubossi katika Cuf...?
Anamlalamikia nani sasa!

Safi sana Mtatiro... Kiongozi inatakiwa uwe na confidence as such.

Baj, labda kwanza tunatakiwa kujua wizara ambazo zipo kwenye muungano ni zipi? Na kwa nini katajwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, asitajwe kiongozi mwingine.

Hii Meli ilipata usajiri wake wapi? na Waziri wa Miundombinu anausika na mambo ya Zanzibar? Maswali ni mengi sana
Labda katajwa sababu yeye ndio kiongozi wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Chatu,,,zanzibar wana waziri wa miundo mbinu hata jana nilimsikia bbc,,,,,swahili,lakini niliwai sikia kuwa meli ilisajiliwa bara,sina hakika sana,,,,,jambo linalonshangaza ni kumtaja pinda kwa sasa;
Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa kitaishtaki serikali kutokana na uzembe uliosababisha ajali ya meli,Mbunge wa Ole Rajabu Mbarouk amesema kuwa pamoja na kuishtaki serikali lakin pia atapeleka hoja binafsi bungeni ili Waziri Mkuu Pinda awajibishwe kwa uzembe......
My take;mim naomba wataalam wa sheria na mambo ya kisiasa na yeyote mwenye weledi wa mambo haya anisadie tu,serikali ya jamhuri itashtakiwa kwa sababu zipi????je kwanini isishtakiwe SMZ,,,,,?????na je hiyo hoja binafsi kwanini isimhusishe waziri kiongozi au yule wa miundombinu?????hapa ndipo pananitatiza mimi,,,,,,

CUF wanataka kuishitaki Serikali ya Muuungano au ya Mapinduzi ya Zanzibar? Kama ni ya Mapinduzi ya Zanzibar CUF si sehemu ya hiyo serikali?

Huyo mbunge anamlinda nani? Kama ni hoja binafsi basi anatakiwa apeleke Baraza la Wawakilishi lakini sio kwenye Bunge la Muungano. Miaka yapata 3 hivi Sumatra walipigwa mararufuku kufanya kazi Zanzibar na kama nakumbuka vizuri kipindi hicho Sumatra walikuwa wanaongelea MV Serengeti kutakana na ubovu wake. Zanzibar ilisimama kidete na kusema Sumatra haina mamlaka Zanzibar.

Pili, baada ya Baraza la wawakilishi kubadilisha katiba na kuifanya Zanzibar kuwa nchi kamili, Mh Ole Rajab Mbarouk anaweza kutuambia nafasi ya Waziri Mkuu ni ipi? Kazi za Waziri Mkuu kwa upande wa Zanzibar ni zipi hasa chini ya hii serikali ya umoja wa kitaifa? Pia kwa nini arukie Waziri mkuu na sio Waziri wa uchukuzi wa Zanzibar? Nani amemtuma huyu Mbunge? Narudia, Mh mbunge anamlinda nani?

Labda katajwa sababu yeye ndio kiongozi wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Tusubiri tuone upande wa pili watajibu nini!
Wakuu, nime-quote habari kwenye website ya gazeti la mwananchi kama inavyoonekana hapa chini:
"Mbunge wa Ole, Rajab Mbarouk alisema anakusudia kupeleka hoja binafsi bungeni ili kumwajibisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa tukio hilo"
HOJA YANGU:
Waziri wa Miundombinu wa SMZ kwanini anaachwa, ila Pinda ambaye wazanzibari hawamtambui wanataka awajibishwe? Wao si waliikataa SUMATRA?
Hawa tushawazoea atiWakuu, nime-quote habari kwenye website ya gazeti la mwananchi kama inavyoonekana hapa chini:
"Mbunge wa Ole, Rajab Mbarouk alisema anakusudia kupeleka hoja binafsi bungeni ili kumwajibisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa tukio hilo"
HOJA YANGU:
Waziri wa Miundombinu wa SMZ kwanini anaachwa, ila Pinda ambaye wazanzibari hawamtambui wanataka awajibishwe? Wao si waliikataa SUMATRA?