Ajali ya Lori Iringa

Moe Szyslak

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2016
Posts
368
Reaction score
724
Sina taarifa zaidi ila nimeona si mbaya kuwajulisha wana JF
 
Mmh hatari sana...vipi ilikuwajekuwaje?? Tafuta taarifa zaidi ulete hapa mkuu
 
Pole Sana Waliopata Ajali
Mungu Ni Mwema Sana
 
Mmh hatari sana...vipi ilikuwajekuwaje?? Tafuta taarifa zaidi ulete hapa mkuu
Nipo safarini tuu.
Ila sidhani kama kuna waliopona maana lami ilikuwana damu zilizokauka. Nadhani ilitokea usiku
 
Aiseee , mkuu mleta uzi ebu jazia jazia nyama kidogo uzi wako, what happened?
 
Aiseee , mkuu mleta uzi ebu jazia jazia nyama kidogo uzi wako, what happened?
Zoom in picha mbili za kwanza. Hiyo lami inonekana kama ina madoa ila kiuhalisia ni damu iliyokauka mara baada ya kufutwa.
 
Hicho kipisi inavyoonekana watu wamepona ila hiyo semi sidhani.
 
Ni ipogolo mwishoni mkuu kama unaelekea mbeya kuna kona halafu kuna sheli kwa mbele kabla ujafika kwenye shule ya Ruaha secondary nimepita jana zimezikuta bado zipo pembeni
Kweli nimeona mkuu, walio kuwa kwenye Semi(scania) wote wamekufa, walio kuwa kwenye kipisi(scania) wote wamevunjika miguu, na ambao walikuwa kwenye gari ndogo hawakuumia hata kidogo isikopokuwa gari ilidondoka.

Ajari ilisababishwa na kipisi(scania) iliyo jaribu ku overtake gari ndogo ambayo ilikuwa mbele yake, gafla mbele kukawa na semi(scania) ambayo ilikuwa high speed ikawa uso kwa uso.

Hakika ajari ina mwenye.
 
Asante kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…