Hivi akipewa say u DC atakuwa kawa demoted ama promoted maana kiuhalisia sasa ni mchezaji huru! nauliza tu kiusingizi singizi kwa mfano mchezaji wa ligi kuu aliyeachwa kwenye usajili wa dirisha dogo akisajiliwa na timu ya daraja la kwanza inayopigania kupanda atakuwa kajiongeza ama kajimaliza kisoka?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.