Mamaisara, mimi nimepita njia hiyo nilikuwa natokea maeneo ya Mabibo, gari iliyopata ajali ni gari ya (G'mboto au Mbagala)-Mwenge DCM, na ilikuwa inatoka maeneo ya magomeni that's mwenge, nimekuta gari ndio inanyenyuliwa sikuona majeruhi ila watu walikuwa wengi maana mimi nilipita hapo nikitokea mabibo kuja huku Upanga kupitia magomeni.