Mungu ni mwema, tushukuru kwa vile hakuna roho ya mtu iliyopotea na hakuna mwili wa mtu uliojeruhiwa kiasi cha kutokuwa reparable. Hizo bodi za magari kama zimeharika ni ulaji kwa vijana wetu waliopo garage, zitanyoshwa tu.
Mungu mkubwa sana malaika wake wamepigana sana msidhan hamna aliyekufa ni kawaida pale ruvu kuna maajabu sana ila kwa maombi shetan ushindwa kutimiza malengo yake,thanks jesus for your mercy on your pple glory to u.amen
hizi s.Feo mbio sana na kujidai mahodari wa ku-overtake bila tahadhari yoyote. usikute dereva alichungulia akaona kuna gari inakuja mbele, anaposema arudi kwenye line yake anakwenda kumbamiza mwenzake
Hadi matuta yanayo haribu barabara na MAGARI yatakapo ondolewa na Sheria za Usalama zitakapo zingatiwa na kusimamia na kila muhuska ndo hizi ajali zembe zitaondoka