Siku 1 nimepanda gari la upendo toka Dar to Morogoro, kwa kweli nilijilaumu sana kwanini nimepanda gari hili nikaacha Abood au Hood, Kisa nilikutana nalo getini linatoka na mimi nataka kuwahi. Gari likiwa barabarani linayumba, halijatulia kabisa, halafu kila kona ni kelele. Nilijiuliza sana, HAKUNA VYOMBO VYA USALAMA BARABARANI? JE HATUNA UKOMO WA MAGARI HAYA KUTEMBEA BARABARANI.
Nilimshukuru Mungu tulipofika salama.