Hakuna kazi ngumu kama ya kuendesha basi ukienda pole pole watasema hili basi halifai ukienda mwendo wa kasi Abiria hufurahi lakini ngoja itokee Ajali kila mtu atakuruka na kuanza kulalamika kuwa dereva alikuwa akaenda mwendo kasi.
Kutembea masaa saba Mtwara kwa sasa ni mwendo wa kawaida kabisa maana kwa Hesabu za haraka hapo dereva anatembea kilometers 80 kwa saa