Umeota ndoto au umepigiwa simu au umejuaje hizo tetesi?Lakini tutaendelea kufuatilia usijali kiongoziNasikia kunaajali mbaya sana mto wami mwenye taarifa kamili plz atujuze
inahusiana na hii????
Source: Eight Kenyans feared dead in Tanzania road crash- News|nation.co.ke
Eight Kenyans feared dead in Tanzania road crash
By NATION Reporter
Posted Friday, August 10 2012 at 09:28
At least eight Kenyan church faithful are feared dead after an accident involving two buses in Tanzania.
Many others from the Presbyterian Church of East Africa (PCEA) Thika Women's Guild are believed injured.
The women group was headed to the Tanzanian capital, Dar es Salaam for a retreat when the accident occurred at Tanga at around 5.30am Friday.
According to eyewitnesses, one of the buses apparently stalled and its occupants called for help from colleagues on the other vehicle.
Reports indicate that the bus turned back in response to the distress calls.
At the scene, a truck rammed both buses from behind.
Rescue efforts are underway.
https://www.jamiiforums.com/habari-...ta-ajali-makunganya-morogoro-ikienda-dar.html
Hakuna kifo hadi sasa lakini watu wameumia na hakuna huduma yoyote waliyopata.Polisi hawajafika na hata ambulance haijafika. Kuna watu wawili wamebanwa ndani ya basi msaada wa haraka unahitajika. Kwa wale wenye ndugu zao basi wajitahidi kuwatafuta kwa simu ili wajue hali zao.
Source:Radio Imani.
https://www.jamiiforums.com/habari-...abena-tabora-mbeya-lachinja-16-papo-hapo.html
Watu 16 wamefariki katika ajali ya basi la sabena kutoka tabora-mbeya.Dereva wa gari ni nassor ally,chanzo cha ajali ni hitilafu kwenye usukani.Ajali imetokea eneo la kitunda wilayani sikonge.SOURCE:TBC JAMBO.
https://www.jamiiforums.com/habari-...ajali-basi-la-saibaba-dar-mtwara-laungua.html
Basi la Saibaba limeteketea kwa moto likitokea Dar kuja Mtwara.
Aabiria wako salama mizigo yote imeteketea maeneo ya Mikindani - MTWARA
Kama ni kitu usichokijua Thread umeanzisha ya nini?...
alafu unakuta mtu na akili zake timamu anasema .."oh, Freemasons" na mambo mengine kama hayo lakini nadhani ni negligence na baada ya ngazi za juu kuharibika sasa ndio uzembe unajikita kwenye level za operations/functional. Tabu kweliHii wiki sijui inaishaje,kila kona ajali..Mungu atuepushie!