Ndio hivi tumeliona hapa jamiiforum kama ulivyopost wewe huu uzi, usitegemee mtu mwingine ndio alete mahabari hapa, hata wewe ulivyoileta hii imetusaidia na imesaidia wengine waliokuwa hawajui. Maana inaonekana kama unashangaa kana kwamba kuna mtu tunamlipa hapa ndio awe anatuletea matukio.
Umeshindwa kunijibu bila kuweka neno la MAUDHI? Umetumia a bit sarcastic word.
Hivi watu wote wana access ya internet full time?
Kama hutaki kujibu,kaa kimya kuna waungwana humu watajibu!!!!!!!!
Mods nao wakati mwingine unaweza kuwa umelenga habari yako kukaa jukwaa fulani kwa makusudi fulani wao wanaitupa wanakofikiri inafaa kuwapo. bila kukushirikisha hii nayo ni changamoto.