Oldonyo Sambu ni karibu na Oldonyo Lengai?
Huyo anauliza oldonyosambu kuwa karibu na oldonyolengai si anakaa Aru ninavyosikia? Hajawahi kusafiri akajua oldonyolengai au anachora watu? Au kiberiti?ni mbali sana, Oldonyosambu ni mita chache baada ya Ngaramtoni ya juu...kuelekea Namanga!!
Mkuu,Leo nimekuta ajali hii njiani kuelekea Namanga gari zimegongana. Gari ndogo hizi zimegongana uso kwa uso.View attachment 332729
View attachment 332730
Haahaha arusha kubwa huenda yuoi kwa wahadzabe kule ziwa eyasi au matala!!Huyo anauliza oldonyosambu kuwa karibu na oldonyolengai si anakaa Aru ninavyosikia? Hajawahi kusafiri akajua oldonyolengai au anachora watu? Au kiberiti?
Mkuu,
Asante umetoa taarifa ya ajali kwa wanajamvi.
Nitaongezea comment yangu kwamba Tanzania sasa imekuwa Butchery ya watu katika Ajali ukilinganisha na Kenya, Uganda na Rwanda. Je haya ni maendeleo au ni upuuzi wa madereva?