sasa ulitaka apaki gari au ?
niko nyuma yenu wakuu!!sasa ulitaka apaki gari au ?
Nyuma yetu unafanya nini we feis buku? hatuaminiani siku hziniko nyuma yenu wakuu!!
Kutokana na wimbi la ajali zinazoendelea nchini hivi sasa , nyingi zinatokana na uzembe mkubwa wa binadamu.
Uzembe kwa pande zote wasimamizi wa usalama barabarani na hata wenye vyombo vya moto.
Mchana huu nimeshuhudia kijiko kikisafirishwa BILA kufungwa kwa chain block kwenye low loader(T262 AFC).
Chuma ikikaa juu ya chuma inatereza hata kwa kufunga breki tu.
Masikini huyo jamaa wa RAV4(T695 ATV) hajui hata hatari inayomkabili pindi mashine hiyo kubwa itakapo teleza.View attachment 40109
Kama wangeweka neno WIDE LOAD na hilo gari kubwa,kipi utakiona mwanzo????kaka MTM soma mada uielewe. anasema ajali nyingine tunajitakia. huyu mleta mada alikuwa kwenye gari la nyuma, akimfuata huyo wa RAV 4 T.695 ATV. Wote hawana makosa, kwani wakati koleo/kijiko hicho kinawekwa tayari kwa safari, hawakuwepo.
Uzembe anaouzungumzia ni waliopakia hilo dozzer, pasipo kuweka tahadhari ya kuzua ajali kama kulifunga na kuomba escort za gari dogo ambalo huwa linatangaza lkabisa WIDE LOAD. wao hawajafanya hivyo, na ajali ikitokea, mwenye gari lililobeba dozzer/kijiko ndiye kaandaa mazingira ya ajili. yaani kaitengeneza ajali
Nyuma yetu unafanya nini we feis buku? hatuaminiani siku hzi