maiti ikinasuliwa kutoka kwenye moja ya magari yaliyopata ajali katikaeneo la pipeline mkoani mbeya, ajali hiyo imetokea hivi punde. Tutawaletea taarifa juu ya chanzo na mengineyo kadiri taarifa zitakavyokua zinatufikia.
Source; mjengwa - picha, habari & matangazo
ama kweli kuna watu na viatu yani badala ya kusaidia waliopata ajali we umekazana kupiga mapicha.

ndio maana kunawaandishi wa habari......! hujasoma division of labor and specialization wewe??? kama wote wangewasaidia majeruhi nani angetuletea nasi habari...!

Comment nyingine bwana.. hivi bila hiyo pich ungeweza kuchngia hii thread?ama kweli kuna watu na viatu yani badala ya kusaidia waliopata ajali we umekazana kupiga mapicha.