Inasikitisha sana. ni gari lililokuwa likisomba mahindi toka Kizi kwenda Kibaoni(Kijiji anakotoka Mh.Wazir Mkuu) ambako kuna Maghala ya NMC. Wamefariki wanakiji wa kijiji hicho watatu,wa mpanda wanne ,uyo mmoja ndo sijafuatilia. majeruhi walikimbizwa kituo cha Afya Usevya kwa msaada zaid ingawaje baadh yao walikuwa na hari korofi mno.
Mungu atusaidie tupate kukumbuka sala na Toba ili tujiweke tayari kwani mambo haya hutokea suddenly,kwa mtu yeyote yule.Tena bila kutarajia. INATISHA.