Ajali njiapanda ya kishimundu

Toka nizaliwe sijawahi kumuona nguruwe live,sijawahi kabisaaa
siku ukimuona lzm upagawe hasa akikupiga busu hlf akacheka kile kicheko chake! dah utadhani malkia kutoka italy!,watamu kushinda naniliu... hlf hawapendi uonevu lkn kadri anavyosikia njaa ndo taratibu kwenye macho yake anakuona unabadirika kuwa mapumba kuanzia juu mpk chini! kadri njaa inavyomzidi.
 
Lushoto, Upareni? We haya ila huyo kacheza mchezo mbaya kilo mia tatu kwenye mia?
 
Huyo aliepata ajali bure kabisa! kiti yenye moto inapatatabu badala ya kukifungua yeye ana sambaza sharubu tuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…