n00b
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 1,013
- 2,684
Basi limedondoka Mboga nje kidogo ya Chalinze. Hakuna aliyefariki ila wapo majeruhi. Basi lilikuwa linatokea Pangani Tanga kwenda Dar es Salaam
![]()
![]()
![]()
![]()
Linafanana na Raha LEO,majini yao yanataka damu ya kafara,huu ndio msimu wao!Basi limedondoka Mboga nje kidogo ya Chalinze. Hakuna aliyefariki ila wapo majeruhi. Basi lilikuwa linatokea Pangani Tanga kwenda Dar es Salaam![]()
![]()
![]()
![]()
Heee! limeanguka vizuri? Huku watu wameumiaila limedondoka vizuri kweli.
hapa maintenance itakuwa kwenye rangi tu kama ni gari la chuma kama mchina itabidi na bodi ikdogo inyooshwe.
Heee! limeanguka vizuri? Huku watu wameumia
sasa basi si halijaumia??
kuumia kwa watu hakutegemei basi kuanguka vby ama vzr watu kuumia ni matokeo ya ajali tu.
ila kwa mwenye mali atasema namshukuru Mungu,gari langu halijaumia sana
Ni Raha Leo au shilingi?
ila limedondoka vizuri kweli.
hapa maintenance itakuwa kwenye rangi tu kama ni gari la chuma kama mchina itabidi na bodi ikdogo inyooshwe.