Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,461
Nipo hapa Mkula. Kuna vijana wawili, Byabato Kilama na Haji Mwasi wa kampuni ya zuku wamepata ajali mbaya. Gari la la Rav4 halitamaniki. Byabato nimemfikisha Mkula Hospital. Kaumia kichwani na sehemu nyingine za mwili.