Ajali Mkoani Shinyanga

mchlmmnl2

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
168
Reaction score
56
Gari la Cocacola latumbukia mtaroni usiku wa kuamkia leo maeneo ya barabara ya Shinyanga karibu na ofisi za Manispaa ya Shinyanga hakuna taarifa za majeruhi wala kifo katika ajali hiyo.
 

Attachments

  • 1407127288918.jpg
    96.2 KB · Views: 326
  • 1407127368105.jpg
    75.8 KB · Views: 296
  • 1407127401110.jpg
    68.6 KB · Views: 278
inekuwa la biya mngenitamanisha.. lakini soda!!! marathi tu..
 
Magari mabovu hayo,majuzi limefeli breki na kuua mtoto wa mwanakwaya mwenzangu pale National-Nyakato,Mwanza
 
Dah hilo lingedondoka huku kwetu kimara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…