Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Sio Tecno pekee hata yangu unafanya hivyoHata mm kwngu napata hiyo hal wakuu mtusaidie au ndio vitekno haviwez fungua attachment kwakuwa hazipo katika uchum wa kat
Bodaboda amebeba LITA 100 za Dizeli.. (Wamejuaje kama ni Lita 100 wakati wamesema zimemwagika??)
Hafu Hivi Lita 100 si ndoo 5. Unabebaje kwenye Bodaboda?
Na me sio mtaalamu ila je Dizeli nayo inawaka kama Petroli? Maana kwa hayo maelezo yanaonesha moto umesababishwa na cheche kisha cheche zikashika moto kutokana na wese (dizeli) iliomwagika.
RIP bodaboda.
Bodaboda hawanabebaga mpaka madumu 8@20Lts. SanLg siyo ya mchezoNimejaribu pia kufikiria sana juu ya ubebwaji wa hizo lita 100 kwenye boda boda. Kwa maana ya madumu matano @20 lts.
Bodaboda hawanabebaga mpaka madumu 8@20Lts. SanLg siyo ya mchezo
Kama boda boda Ina uwezo wa kubeba mshikaki watu ata watatu,inashidwa vipi kubeba Lita Mia?Nimejaribu pia kufikiria sana juu ya ubebwaji wa hizo lita 100 kwenye boda boda. Kwa maana ya madumu matano @20 lts.
Mimi pia, nikajua labda tatizo litakua simu yangu.Mods ni kwa nini napo bonyeza attachment inakuja hivi?Tatizo nini hapa msaada hapa tafadhali View attachment 1673981
Hawa jamaa Ni balaa, walitakiwa wajengewe mzani. Ukiwakuta wamepiga nyoka disel utashangaaaaaaNilifikiri madumu ya maji tu mkuu, kumbe hata madumu ya Diesel.
Wanauwezo kupiga mtungo mpaka watu 5 na wakafika wanakoendaKama boda boda Ina uwezo wa kubeba mshikaki watu ata watatu,inashidwa vipi kubeba Lita Mia?
Noma sana wameku Trump sio bureMods ni kwa nini napo bonyeza attachment inakuja hivi?Tatizo nini hapa msaada hapa tafadhali View attachment 1673981
Niliambiwa SANLG ni vifuso vidogo sikuamini, siku nilishuhudia imebeba gunia 5 za mkaa, nilichoka!!Bodaboda hawanabebaga mpaka madumu 8@20Lts. SanLg siyo ya mchezo
Mbona mwanangu wa miaka 12 anabeba madumu matano ya maji kwa baiskeli?,nyie watu wa wapi?Nimejaribu pia kufikiria sana juu ya ubebwaji wa hizo lita 100 kwenye boda boda. Kwa maana ya madumu matano @20 lts.
Kama boda boda Ina uwezo wa kubeba mshikaki watu ata watatu,inashidwa vipi kubeba Lita Mia?
Labda kwa vile simu haina charge nyingiMods ni kwa nini napo bonyeza attachment inakuja hivi?Tatizo nini hapa msaada hapa tafadhali View attachment 1673981
Hata mimi mkuu kila nikibonyeza attachment ili niifungue naambulia huo utopoloMods ni kwa nini napo bonyeza attachment inakuja hivi?Tatizo nini hapa msaada hapa tafadhali View attachment 1673981
Napata hili tatizo piaMods ni kwa nini napo bonyeza attachment inakuja hivi?Tatizo nini hapa msaada hapa tafadhali View attachment 1673981
Wanabeba mkuu, wanafunga na kamba dumu 2 kila upande zinaninginia na moja pale juu.Bodaboda amebeba LITA 100 za Dizeli.. (Wamejuaje kama ni Lita 100 wakati wamesema zimemwagika??)
Hafu Hivi Lita 100 si ndoo 5. Unabebaje kwenye Bodaboda?
Na me sio mtaalamu ila je Dizeli nayo inawaka kama Petroli? Maana kwa hayo maelezo yanaonesha moto umesababishwa na cheche kisha cheche zikashika moto kutokana na wese (dizeli) iliomwagika.
RIP bodaboda.
Wakati unaingia JF chagua forum uipendayo kwanza kati ya hizo hapo juu then ukivuta attachment haitasumbua kabisa..Mods ni kwa nini napo bonyeza attachment inakuja hivi?Tatizo nini hapa msaada hapa tafadhali View attachment 1673981