Ajali Mbugani

Napita mikumi kila wiki,kufikia kugonga mnyama mpaka gari kuharibika hivyo ni uzembe wa hali ya juu,na inaonyesha dereva alikuwa speed ya juu ya limit.hapo lazima milion 35 itoke,labda wayamalize "kiutu uzima"
 
Vipi nikimgonga mwanamke faini yake ni dola ngapi?
 
Napita mikumi kila wiki,kufikia kugonga mnyama mpaka gari kuharibika hivyo ni uzembe wa hali ya juu,na inaonyesha dereva alikuwa speed ya juu ya limit.hapo lazima milion 35 itoke,labda wayamalize "kiutu uzima"
Haiwezekani kuyamaliza kihivyo ishu ishakuwa publik inafwatiliwa wizani washaweka mtego
 
Poa mkuu tumeshajua upo majuu Copenhagen Dermark

Mkuu mm nipo huku Kantalamba narina asali
Vip huko soko la asali n vip???
 
Kuna neno nilitaka kusema nimeshindwa, kule selou nakwenyewe madereva wa mradi wameanza kugonga wanyama kila siku
 
Mademu wadangaji wakiona hayo madau wanataman wageuke hao wanyama wenye madau makubwa halafu wagongwe walipwe. Ila kwa madau hayo bora madereva wakifika hapo wazime magar then wasukume
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…